Mtoto Si Nguo
Kuna vile nilidream
Na kuchora kwa diary
About me - you
and your mama as a family
zimebaki story
kid im so sorry
i will a;ways be around
so dont worry
kuna vile mi nahusstle
usiku na mchana
kuweka mambo sawa
ila inashindikana
usisikie wanachosema
ati mi nachoma sana
be a good girl
heshimu baba na mama
bibi na babu wanakupenda sana
African queen
we ni beautiful like your mama
we ni kila kitu
kwenye hii dunia najivunia
baba ako
lfe yako napigania
siwezi kufa maskini
nikakuacha mtupu
nitakuachia elimu
vitabu marupurupu
soma kwa bidii
adabu utii
wakubwa wadogo
waheshimu mamii
-Matei Babu
This poem is about:
Me
My family