'kumekucha kulichele'
Kumekucha siku njema
Tuamke sote na wema
Tuombe nyingi neema
Tusiishi kwa lawama
Tumshukuru Rabana
Kutuamsha kama jana
Kutuondolea laana
Tusijifanye wajalaana
Endapo tunauwezo
Kutoa iwe kigezo
Kwa wenzi wasouwezo
Barka kua chanzo
Naaga nasema bai
Nlikua nawapa 'hai'
nina mwingi uhai
Usonitoa nishai.
This poem is about:
My country