Barua Ya Baba (Father's letter)

Nimeamua kuandika hili kuchafua akili ya wathii na hili picha Yangu ya maisha kutoka utotoni na vitu kibao zile nimepitia Furaha,karaha,kuteswa,kutengwa,kufinyiliwa na kuchukiwa Baba kunitelekeza bila lepe na kujifanya hatufanani kwa sura Natikiza kichwa kwa ishara ya kukubali kwenye ya pili fikra Yeah,Hello Dad. Najua nilikua a mere mistake Infact afathali ujinyonge badala ya kuni-in-take Wewe ni ‘fake’ kama haga ya Vera sidika Nakuchukia kama binti anaye sambaza baada ya kuhadhirika Nahapa kwa jina ya maulana, Ukijaribu kutafuta mbinu ili tupatane Hatuwezi tembea kilomita ‘Zii’ sentimita mbili kabla upate Chamtema kuni kama mwizi siku zake zimefika kayole Uh,unaona mali itakupa upendo? Ju, uko na hardware’ na kuendesha biashara ya magendo? Ama sababu unafamilia na mtoi wako anasomea maseno? Wakati mimi kijana wa kwanza sikumaliza hadi O level Alafu kwa unyenyekevu unaomba mola akupatie favors? Ofcourse,saa zingine anakuanga unfair Na si ati nimeamua mwenyezi kumchomea,hila, Nikipata show saa zingine uwa nakosa ata fare Hadi mavazi…..……….(anajitoa) ”yo,rudi hapa fag nikupee piece of my fantasy” Vile una sura mbaya kama Elien imedunda kutoka kwa mercury Nakujipiga kifua kuhusu kazi yako na Kenya army Ambayo haukukaa sababu ulifutwa mara walipotambua picha yako kamili Mwizi wa mapenzi,mali,sura na tamaa kukula mifupa kama fisi Natumai uchomeke kuzimu kwa Kumpokonya mwanao haki ya malezi Unadhani ukifa kraizie Naibz nitakua na hari nitakuja mazishi? Ooh ngoja…. Nitakutembelea usiku makaburini baada ya siku mbili, Nikufukue,niufungue sanduku alafu nikikojelee maiti Alafu nikuzike tena baada ya kuvunja fuzu na kuchoma kiwili Kiwiliwili kikionekana kwenye upeo wa macho ya mwili ‘Nimesema hili kabla sijafa kama Nikki Mbishi……. Jina langu ni Kraizie Naibz

This poem is about: 
Me

Comments

Need to talk?

If you ever need help or support, we trust CrisisTextline.org for people dealing with depression. Text HOME to 741741