009 wakilisha

Double 0 tisa,

Ngalimi Nawakilisha,

Nipe dry au Mixer

sijui kuhusu shisha,

Its the puff puff pass

dizain ya dandoo

Kule Uk double O-Mau Mau

Kwa hizi style ninazo flow

labda watoe Draw,

Chocho 2 Chocho

Ngalimi to Bongonyoo

Nakatiza Tgp naibukia Taoo

Mishe kali Matejoo

Kjuu to Ololoo

Kati natimba Night-Night kali ya weekend

Cops wanakula bati wanajua siwapendi

009 peace and love huwa hatupendi beef

japo sura full Makavu kwa beto tumestaafu

ukituona full Mashavu ni veve tu arifu

Poda mbishe chafu hiyo ni tabia chafu

Kubwia wabwie wao sisi tuchome tu

Kuiga tabia yao waachee waige tu

-Matei Babu 2014

 

 

This poem is about: 
My community

Comments

Additional Resources

Get AI Feedback on your poem

Interested in feedback on your poem? Try our AI Feedback tool.
 

 

If You Need Support

If you ever need help or support, we trust CrisisTextline.org for people dealing with depression. Text HOME to 741741