ON TOSE
On tose nachangamka yes niko on course
hii course ni major on the way kuna danger
on the way nitahema yes nitakua rained on
ye ntabuild hema either nikue late or
Nigeuke kilema, wageuke kunilenga, wageuke kunisema
Bt nitabaki kuwa malenga kwa macho yangu hamwezi hepa
ilhali niliyoyapitia kamwe hamwezi sema.
Waniona nina pesa wanawika niwagawie,
Waniona tushapika maji yepi tunawie,
nikiwapa ya bure si kesho mtajileta sikuchukii ndugu yangu pia mimi najipenda.