Masaibu Ya Maisha

Na-wonder life ni type gani ya game,ni hockey,rugby ama table tennis? Ina-boast vile ni mjanja na bila mimi ni kama used tissue paper ingekua useless on toes tunastruggle ku make it but sikuizi hakuna difference ya form 4 leaver na graduate wa campus Yeah,so to live a naturally pleasant life bila magugu lazima ukue na akili kibao kama miguu za octopus Ju,Jobs ni less kwa serikali na NGOs wamesota nafasi ndio maana wengi wetu ni jobless Cheki ma boys mtaani tuko zile system ya kaka kaa rada kabla upigwe risasi so tuko za oh God bless!! Work of my brains coz sometimes hands inakuanga tricky kama poqupine, but nashangaa kazi zikipatikana tunafinyiliwa kwa mchanga chafu na kulipwa peanuts So kraizie, Its my time kukua mjanja ama nitazikwa kwa makaburi ya umma ju sitakua na shamba pia mkwanja na bado watanisifu falsy ati mgagaa na upwa yule alikula wali mkavu Ingawa sai najenga castle kwenye hewa hila siku ile milango zitafunguka nitakua kama sample ya kuashiria katika kile kiumbe ulimwenguni walio na maswali chungu nzima mbona hili na sio lile? mbona hivi na sio vile? mbona huyu wala si yule? mbona changu wala si chake? mapenzi ni ya mola ama ni shetani kutoka kuzimu? mafanikio ni ya wale wamezaliwa katika sahani ya dhahabu? sababu,binadamu wameshindwa kujinufaisha kimawazo hili kupata jawabu nipe mkono tutembee kuelekea kileleni mimi na wewe pamoja na yule,tuende pamoja!!

This poem is about: 
Our world

Comments

Need to talk?

If you ever need help or support, we trust CrisisTextline.org for people dealing with depression. Text HOME to 741741